1/8
AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto screenshot 0
AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto screenshot 1
AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto screenshot 2
AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto screenshot 3
AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto screenshot 4
AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto screenshot 5
AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto screenshot 6
AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto screenshot 7
AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto Icon

AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto

Njiwa Technologies
Trustable Ranking IconDe Confiança
1K+Transferências
6.5MBTamanho
Android Version Icon5.1+
Versão Android
2.0.67(28-02-2021)Última versão
-
(0 Avaliações)
Age ratingPEGI-3
Descarregar
DetalhesAvaliaçõesVersõesInfo
1/8

Descrição de AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto

AfyaTrack App ni application pekee na ya kwanza nchini Tanzania na Afrika Mashariki kukuletea huduma za ufuatiliaji afya mtandaoni kwa lugha ya Kiswahili.


MATUMIZI:

Kwa ujumla application ya AfyaTrack inakuwezesha:


1. Kupata ushauri kwa makala na nyenzo mbalimbali kukusaidia "KUPATA UJAUZITO" wenye afya na kwa wakati.


2. Kufuatilia maendeleo ya "UJAUZITO" wiki hadi wiki tangu kutungwa kwa mimba mpaka kujifungua.


3. Kufuatilia hatua za ukuaji na maendeleo ya afya ya "MTOTO" tangu kuzaliwa mpaka miaka mitano (5).


4. Kujiunga na kuwasiliana na "JAMII" kubwa ya wajawazito na wazazi wengine kwenye mtandao wa AfyaTrack.Com na forums zake kwa ujumla.


KUJIUNGA:

Kujiunga ni rahisi sana. Utahitaji kuwa na E-mail yako, namba yako ya simu na tarehe yako ya kuzaliwa tayari kuweza kujiunga na AfyaTrack app. Baada ya kujiunga na kuingia ndani ya app (Login) utachagua huduma unayotaka kufuatilia halafu ingiza tarehe husika, kisha utapelekwa moja kwa moja kwenye ukurasa wa ufuatiliaji huduma husika.


Unaweza ukabadilisha taarifa za "Account" yako hapo baadae, ikiwemo kubadilisha huduma unayotaka kufuatilia kwa kubonyeza alama ya uso (face icon) iliyopo juu kabisa kulia kwenye app.


HAKI MILIKI:

Taarifa, Makala na Ushauri wowote uliopo kwenye AfyaTrack app na AfyaTrack.Com ni mali ya AfyaTrack. Kunakili, kuchapisha au kushirikisha wengine kwenye tovuti nyingine au mitandao ya kijamii bila kutushirikisha au kuomba idhini kutoka uongozi wa AfyaTrack ni kwenda kinyume na sheria zetu za haki miliki.


ANGALIZO:

Taarifa na maelezo yote yaliyopo kwenye app hii na tovuti ya AfyaTrack.Com yasitumike kubatilisha au kama mbadala wa ushauri na huduma kutoka kwa mtaalamu toka kituo cha afya. AfyaTrack chini ya Afya4All Group inakutahadharisha kuwa haitahusika kwa namna yoyote ile na matokeo ya maamuzi yako utakayochukua kutokana na taarifa hizi zinazotelewa kama taarifa na ushauri kwa jamii yote kwa ujumla.


Taarifa na ushauri huu usitumike kama mbadala wa ushauri utakaopewa na daktari, mkunga au mtoa huduma kutoka kituo rasmi cha afya.


Kama una wasiwasi au tatizo kuhusu ujauzito au mtoto wako tafadhali wasiliana na daktari wako au mtoa huduma wa afya karibu yako.


Timu nzima ya AfyaTrack inakutakia ujauzito mwema, kujifungua salama na malezi mema na afya bora kwako na kwa mtoto wako.


WASILIANA NASI:


Web: http://afyatrack.com

Facebook: http://facebook.com/afyatrak

Twitter: http: @afyatrak

Instagram: @afyatrack


HUDUMA KWA WATEJA:

Tunajitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kuboresha huduma za AfyaTrack ili kukuwezesha kupata taarifa sahihi na kwa wakati. Je una ushauri au mawazo ya kutusaidia kuiboresha app hii? Tuandikie barua pepe: feedback@afyatrack.com


AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto - Versão 2.0.67

(28-02-2021)
Outras versões
Novidades**Marekebisho ya Tatizo la Kutohesabu Umri wa Mtoto kwa Usahihi**Kurekebisha tatizo la baadhi ya watumiaji kushindwa kujiungaKuboreshwa kwa muonekano na mfumo wa app kwa ujumlaKuongezwa kwa huduma ya “KUPATA UJAUZITO”Kuboreshwa kwa huduma ya “MTOTO”Kuongezwa kwa Nyenzo (TOOLS)Uwezo wa kujiunga na JAMII ya wajawazito na wazazi wengineJiunge kwa namba ya simu au E-mailBadili password uliyoisahau kiurahisi

Ainda não há avaliações ou classificações! Para deixares a primeira, por favor

-
0 Reviews
5
4
3
2
1

AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto - Informação APK

Versão APK: 2.0.67Pacote: co.njiwatech.afyatrack
Compatibilidade com Android: 5.1+ (Lollipop)
Programador:Njiwa TechnologiesPolítica de Privacidade:https://www.afyatrack.com/privacy-policyPermissões:3
Nome: AfyaTrack - Ujauzito na MtotoTamanho: 6.5 MBTransferências: 4Versão : 2.0.67Data de lançamento: 2021-12-13 19:34:16Ecrã mínimo: SMALLCPU Suportado:
ID do Pacote: co.njiwatech.afyatrackAssinatura SHA1: 16:F8:33:A3:B6:B0:97:94:85:42:71:9C:B2:3E:C2:25:3D:70:A4:D7Programador (CN): AndroidOrganização (O): Google Inc.Localização (L): Mountain ViewPaís (C): USEstado/Cidade (ST): CaliforniaID do Pacote: co.njiwatech.afyatrackAssinatura SHA1: 16:F8:33:A3:B6:B0:97:94:85:42:71:9C:B2:3E:C2:25:3D:70:A4:D7Programador (CN): AndroidOrganização (O): Google Inc.Localização (L): Mountain ViewPaís (C): USEstado/Cidade (ST): California

Última Versão de AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto

2.0.67Trust Icon Versions
28/2/2021
4 transferências6.5 MB Tamanho
Descarregar
appcoins-gift
Jogos AppCoinsGanha ainda mais recompensas!
mais